Kikhakas ni lugha ya Kiturki nchini Urusi na Uchina inayozungumzwa na Wakhakas. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikhakas nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 42,600 wakati idadi ya Wakhakas ilikuwa 73,000. Pia kuna Wakhakas 880 nchini Uchina lakini wazee kumi tu wanaweza kuongea lugha yao ya Kikhakas wengine wakiongea Kichina au Kimongolia. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhakas iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhakas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.