Kikham cha Sheshi
(Elekezwa kutoka Kikham ya Sheshi)
Kikham ya Sheshi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakham. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikham ya Sheshi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikham ya Sheshi iko katika kundi la Kihimalaya.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikham ya Sheshi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikham ya Sheshi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikham ya Sheshi katika Glottolog
- lugha ya Kikham ya Sheshi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikham cha Sheshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |