Kikhvarshi
Kikhvarshi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wakhvarshi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikhvarshi imehesabiwa kuwa watu 1740. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhvarshi iko katika kundi la Kitseziki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikhvarshi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhvarshi Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikhvarshi katika Glottolog
- lugha ya Kikhvarshi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhvarshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |