Kikibiri (pia Kiporome) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakibiri na Waporome. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikibiri imehesabiwa kuwa watu 1180, yaani Wakibiri 280 na Waporome 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikibiri iko katika kundi la Kikiwaian.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikibiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.