Kikinuku
Kikinuku ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakinuku. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kikinuku imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikinuku iko katika kundi la Kikainji.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikinuku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikinuku Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikinuku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kkd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikinuku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |