Kikir-Balar
Kikir-Balar ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakir na Wabalar. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikir-Balar imehesabiwa kuwa watu 3050. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikir-Balar iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikir kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikir Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikir katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kkr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikir-Balar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |