Kikonai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakonai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikonai imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonai iko katika kundi la “East Strickland”.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.