Kikono (Sierra Leone)

Kikono ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wakono. Kisichanganywe na lugha ya Kikono nchini Nigeria. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikono imehesabiwa kuwa watu 205,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikono kiko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikono (Sierra Leone) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.