Kikosrae ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wakosrae. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikosrae imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikosrae iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikosrae kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.