Kikrim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wakrim. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikrim imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrim kiko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.