Kikubo
Kikubo ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakubo. Idadi ya wasemaji wa Kikubo imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikubo iko katika kundi la “East Strickland”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikubo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikubo Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikubo katika Glottolog
- lugha ya Kikubo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikubo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |