Kikudu-Camo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakudu na Wacamo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikudu-Camo imehesabiwa kuwa watu 42. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikudu-Camo iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikudu-Camo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.