Kikukele
Kikukele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakukele. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikukele imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikukele iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikukele kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikukele Ilihifadhiwa 15 Novemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikukele katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kez
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikukele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |