Kikulere
Kikulere ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakulere. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikulere imehesabiwa kuwa watu 15,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulere iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikulere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulere Ilihifadhiwa 3 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikulere katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kul
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |