Kikulon-Pazeh
Kikulon-Pazeh ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wakulon-Pazeh. Hakuna Wakulon-Pazeh siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kikulon-Pazeh, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulon-Pazeh iko katika kundi la Kiformosa-Kaskazini-Mashariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikulon-Pazeh kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulon-Pazeh Archived 11 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikulon-Pazeh katika Glottolog
- lugha ya Kikulon-Pazeh kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulon-Pazeh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |