Kikulung (Nigeria)

Kikulung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakulung. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kikulung imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulung iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikulung (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.