Kikumyk ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakumyk. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikumyk nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 426,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Uturuki. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumyk iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumyk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.