Kikung-Ekoka ni lugha ya Khoisan nchini Namibia na Angola inayozungumzwa na Wakung-Ekoka. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikung-Ekoka nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 3400. Pia kuna wasemaji 1760 nchini Namibia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikung-Ekoka kiko katika kundi la Kikx'a.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikung-Ekoka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.