Kikuot ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakuot. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikuot imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikuot haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.