Kikupa
Kikupa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakupa. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikupa imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikupa iko katika kundi la Kinupoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikupa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikupa Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikupa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kug
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikupa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |