Kikwambi ni lugha ya Kibantu nchini Namibia inayozungumzwa na Wakwambi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikwambi imehesabiwa kuwa watu 32,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwambi iko katika kundi la R20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwambi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.