Kikwamera
Kikwamera ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wakwamera kwenye kisiwa cha Tanna. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikwamera imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwamera iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikwamera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikwamera Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikwamera katika Glottolog
- lugha ya Kikwamera kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwamera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |