Kikwoma ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakwoma. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikwoma imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwoma iko katika kundi la Kinukuma.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.