Kikyenga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Benin inayozungumzwa na Wakyenga. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikyenga nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikyenga iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikyenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.