Kikyirong
Kikyirong (pia Kikyerung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uchina inayozungumzwa na Wakyirong. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kikyirong nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 500. Pia kuna wasemaji 100 nchini Uchina (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikyirong iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikyirong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikyirong Archived 4 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikyirong katika Glottolog
- lugha ya Kikyirong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikyirong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |