Kilabir (pia Kijaku) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walabir. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilabir imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilabir iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilabir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.