Kilala-Roba
Kilala-Roba (pia Kigworam) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walala na Waroba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilala-Roba imehesabiwa kuwa watu 46,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilala-Roba iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilala Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilala katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lla
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilala-Roba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |