Kilango ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Walango. Isichanganywe na lugha ya Kilango nchini Sudan Kusini. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kilango imehesabiwa kuwa watu 1,490,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilango iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilango (Uganda) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.