Kilashi
Kilashi (au Kilacid) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilashi nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Uchina (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilashi iko katika kundi la Kiburmiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilashi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilashi Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilashi katika Glottolog
- lugha ya Kilashi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilashi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |