Kilaua
Kilaua ilikuwa lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Walaua. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kilaua, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaua iko katika kundi la Kimailuan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilaua kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilaua Ilihifadhiwa 27 Mei 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilaua katika Glottolog
- lugha ya Kilaua kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilaua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |