Kilawu
Kilawu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Walahu. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kilawu imehesabiwa kuwa watu hamsini tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilawu iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilawu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilawu Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilawu katika Glottolog
- lugha ya Kilawu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilawu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |