Kilawunuia ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Walawunuia. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kilawunuia imehesabiwa kuwa watu 550. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilawunuia iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilawunuia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.