Kilele ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Walele. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kilele imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilele iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilele (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.