Kilemoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walemoro. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kilemoro imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilemoro iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilemoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.