Kilere
Kilere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walere. Mwaka wa 2000 idadi ya Walere imehesabiwa kuwa watu 16,328 lakini wengi hawajui Kilere. Kwa hiyo inawezekana kuwa lugha itatoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilere iko katika kundi la Kikainji.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilere Ilihifadhiwa 21 Mei 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilere katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gnh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |