Kilese
Lugha ya Sudani ya kati
Kilese ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walese. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilese imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilese iko katika kundi la Kisudani cha Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilese kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilese Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilese katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/les
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilese kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |