Kili Music Awards


Kilimanjaro Music Awards ni tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa wasanii wote nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Tuzo huwa zinatolewa kila mwaka kwa dhumuni la kuwapa uwamko wasanii wa Afrika Mashariki, kundeleza vipaji na usia kwa jamii ya kiafrika kwa ujumla, hivyo upewa kama pongezi kwa kazi walioifanya kwa uelimisha jamii katika kipindi cha mwaka mzima.

Kilimanjaro Music Awards
Nembo ya Kili Music
Nembo ya Kili Music
Tuzo hutolewa kwa ajili ya Muziki tu.
Huwakilishwa na Tanzania Breweries Limited
Nchi Tanzania
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kili Music Awards kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.