Kilimassa
Kilimassa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wamassa. Idadi ya wasemaji wa Kilimassa ni ndogo sana kwa hiyo inawezekana kuwa lugha hiyo itatoweka punde. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilimassa iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilimassa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilimassa Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilimassa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bme
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilimassa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |