Kilogorik ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Walogorik. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kilogorik imehesabiwa kuwa watu 2000 wakati wasemaji wengine walikuwa wameanza kusahau lugha yao na kutumia lugha nyingine. Kwa hiyo inawezekana kuwa Kilogorik imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilogorik iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilogorik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.