Kilokaa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walokaa. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilokaa imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilokaa iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilokaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.