Kiloke
Kiloke (pia Kilowa) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waloke. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiloke imehesabiwa kuwa watu 3030. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiloke iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiloke kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiloke Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiloke katika Glottolog
- lugha ya Kiloke kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiloke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |