Kilokoya
Kilokoya ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Walokoya. Idadi ya wasemaji wa Kilokoya imehesabiwa kuwa watu 12,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilokoya iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilokoya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilokoya Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilokoya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lky
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilokoya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |