Kilolopo cha Kusini
Kilolopo ya Kusini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kilolopo ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 190,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilolopo ya Kusini iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilolopo ya Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilolopo ya Kusini Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilolopo ya Kusini katika Glottolog
- lugha ya Kilolopo ya Kusini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilolopo cha Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |