Kilonguda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walonguda. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kilonguda imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilonguda iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilonguda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.