Kilopi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahani. Idadi ya wasemaji wa Kilopi haijulikani. Ijapo idadi ya Wahani ambao walikuwa huongea Kilopi imehesabiwa kuwa watu 15,000, siku hizi ni wachache mno ambao wangeweza kuzungumza lugha hiyo, yaani lugha ya Kilopi imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilopi iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilopi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.