Kilopit ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Walopit. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kilopit imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilopit iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilopit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.