Kilumun
Kilumun ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walumun. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kilumun imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilumun iko katika kundi la Kikordofani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilumun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilumun Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilumun katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lmd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilumun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |