Kima (lugha)
Kima ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wama. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kima imehesabiwa kuwa watu 4700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kima iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kima kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kima Archived 2017-12-12 at Archive.today
- lugha ya Kima katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/msj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kima (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |