Kimak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamak. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimak imehesabiwa kuwa watu 5690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimak iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.