Kimakolkol ilikuwa lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wamakolkol. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimakolkol tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimakolkol iko katika kundi la “East New Britain”.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakolkol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.